Uforensiki katika ujumi wa riwaya pendwa ya kiswahili: uchambuzi wa riwaya ya “Kikosi cha Kisasi”

dc.contributor.authorLuhwago, Neema Julius
dc.date.accessioned2021-08-31T09:09:05Z
dc.date.available2021-08-31T09:09:05Z
dc.date.issued2019
dc.descriptionIkisiri. Makala kamili inapatikana http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1476en_US
dc.description.abstractMakala haya yanakusudia kuchunguza namna uforensiki unavyoibua ujumi wa riwaya pendwa ya Kiswahili, sambamba na kuitambulisha taaluma ya uforensiki inavyojitokeza katika riwaya ya Kikosi cha Kisasi. Kutofahamikavyema kwa taaluma ya uforensiki katika riwaya pendwa ya Kiswahili, kumesababisha mtazamo hasi kwa wadau mbalimbali wa fasihi ya Kiswahili kama vile Kimura (1991), Hussein (1971) na Kezilahabi (1976), waliotafiti na kuihakiki riwaya pendwa ya Kiswahili na kuiona kuwa ni riwaya isiyo na mafunzo yenye maadili kwa jamii, kutokana na maudhui yake ya ujambazi, mauaji, uhalifu, ujasusi, mapenzi na upelelezi kuelezwa waziwazi. Hali hii imesababishwa na uchache wa wanataaluma waliojihusisha na tafiti zinazohusu uforensiki katika riwaya pendwa ya Kiswahili. Hata hivyo, suala la uforensiki katika kuibua ujumi wa riwaya pendwa ya Kiswahili halijashughulikiwa. Kutoshughulikiwa huko kunaendeleza mtazamo hasi wa kuziona riwaya hizi kuwa zimeiga utamaduni wa kigeni na hazina umuhimu katika jamii yetu, licha ya kuwa jamii yenyewe tayari imeshaathiriwa na utandawazi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia.. Makala haya yatasaidia kuondoa mtazamo hasi uliopo juu ya riwaya pendwa ya Kiswahili na kuidhihiridha namna uforensiki unavyoibua ujumi katika riwaya pendwa ya Kiswahili hususani riwaya ya Kikosi cha Kisasi.en_US
dc.identifier.citationLuhwago, N. J. (2020). Uforensiki katika ujumi wa riwaya pendwa ya kiswahili: uchambuzi wa riwaya ya “Kikosi cha Kisasi”. JULACE: Journal of the University of Namibia Language Centre, 4(2), 54-66en_US
dc.identifier.otherURL: http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1476
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3310
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherUniversity of Namibiaen_US
dc.subjectUforensikien_US
dc.subjectRiwaya pendwaen_US
dc.subjectRiwaya kiswahilien_US
dc.subjectRiwaya 'Kikosi cha Kisasi'en_US
dc.subjectUtandawazien_US
dc.subjectUjumi riwaya pendwaen_US
dc.subjectUforensiki taalumaen_US
dc.subjectUforensiki riwaya pendwa kiswahilien_US
dc.titleUforensiki katika ujumi wa riwaya pendwa ya kiswahili: uchambuzi wa riwaya ya “Kikosi cha Kisasi”en_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Luhwago, Neema Julius.pdf
Size:
6.06 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections