Utoshelevu wa Mawasiliano kwa Kiswahili katika Teknolojia ya Sikanu: Uchunguzi Kifani wa WhatsApp.
Loading...
Date
2020
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
University of Namibia
Abstract
Makala hii inahusu uchunguzi wa utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. Uchunguzi umejikita katika programu tumizi ya SIKANU ijulikanayo kwa jina la WhatsApp na simu ya mkononi aina ya Tecno F1 imetumiwa kama uchunguzi kifani. Utafiti umetumia mkabala wa kitaamuli, ambapo maelezo na maelekezo ya Kiswahili yaliyomo katika WhatsApp yamechunguzwa katika kupima utoshelevu wake. Vigezo vilivyotumika kupima utoshelevu wa mawasiliano hayo ni uelewekaji, uwepo wa msamiati katika kamusi za Kiswahili na katika matumizi ya wazungumzaji, ngeli za nomino, mpangilio wa viambishi na wa maneno katika tungo. Uchanganuzi umeonesha kuwa msamiati unaotumika katika WhatsApp, kwa kiasi kikubwa, ni toshelevu kiasi cha kukidhi mawasiliano baina ya watumiaji wake. Kuna msamiati ambao unafahamika na kuzoeleka kwa watumiaji na mwingine ni mapya. Msamiati mpya
Description
Abstract. Full text article available at http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1480
Keywords
Teknolojia, KISANU, WhatsApp, Tecno F1., Swahili, Simu ya mkononi
Citation
Stephano, R. (2020). Utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. JULACE: Journal of the University of Namibia Language Centre, 5(1), 1-14.