Utoshelevu wa Mawasiliano kwa Kiswahili katika Teknolojia ya Sikanu: Uchunguzi Kifani wa WhatsApp.

dc.contributor.authorStephano, Rehema
dc.date.accessioned2021-05-12T09:25:34Z
dc.date.available2021-05-12T09:25:34Z
dc.date.issued2020
dc.descriptionAbstract. Full text article available at http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1480en_US
dc.description.abstractMakala hii inahusu uchunguzi wa utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. Uchunguzi umejikita katika programu tumizi ya SIKANU ijulikanayo kwa jina la WhatsApp na simu ya mkononi aina ya Tecno F1 imetumiwa kama uchunguzi kifani. Utafiti umetumia mkabala wa kitaamuli, ambapo maelezo na maelekezo ya Kiswahili yaliyomo katika WhatsApp yamechunguzwa katika kupima utoshelevu wake. Vigezo vilivyotumika kupima utoshelevu wa mawasiliano hayo ni uelewekaji, uwepo wa msamiati katika kamusi za Kiswahili na katika matumizi ya wazungumzaji, ngeli za nomino, mpangilio wa viambishi na wa maneno katika tungo. Uchanganuzi umeonesha kuwa msamiati unaotumika katika WhatsApp, kwa kiasi kikubwa, ni toshelevu kiasi cha kukidhi mawasiliano baina ya watumiaji wake. Kuna msamiati ambao unafahamika na kuzoeleka kwa watumiaji na mwingine ni mapya. Msamiati mpyaen_US
dc.identifier.citationStephano, R. (2020). Utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. JULACE: Journal of the University of Namibia Language Centre, 5(1), 1-14.en_US
dc.identifier.otherURL: http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1480
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3040
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherUniversity of Namibiaen_US
dc.subjectTeknolojiaen_US
dc.subjectKISANUen_US
dc.subjectWhatsAppen_US
dc.subjectTecno F1.en_US
dc.subjectSwahilien_US
dc.subjectSimu ya mkononien_US
dc.titleUtoshelevu wa Mawasiliano kwa Kiswahili katika Teknolojia ya Sikanu: Uchunguzi Kifani wa WhatsApp.en_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Rehema Stephano.pdf
Size:
106.17 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections