Miktadha ya matumiziya U-Nigeria katika video za nyimbo za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania

dc.contributor.authorKasiga, Gerevaz. A.
dc.date.accessioned2023-10-12T13:40:51Z
dc.date.available2023-10-12T13:40:51Z
dc.date.issued2022
dc.descriptionAbstract. Full text article available at. http://www.journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/2457en_US
dc.description.abstractTasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya wa Kiswahili nchini Tanzania imetekwa na utamaduni wa nje, hususani wa Kinigeria. Hali hii ikiendelea itapoteza utambulisho wa Kitanzania katika sanaa. Kwa hali hiyo, makala imechunguza miktadha ya matumizi ya U-Nigeria katika video za nyimbo za muziki wa kizazi kipya wa Kiswahili nchini Tanzania ili kubaini misukumo yake na kutazama njia za kuupunguza na kuuondosha. Makala imetumia mkabala wa kitaamuli. Data zilikusanywa maktabani na uwandani. Nadharia ya Uhalisia ilitumika kama kiunzi cha uchambuzi na mjadala. Hatimaye, makala imebaini miktadha saba ya utumiwaji wa U-Nigeria. Miktadha hiyo imehusisha mivuto ya kiubidhaishaji, matumizi ya vyombo vya habari, mivuto ya kiujumi na kibunifu, na mivuto kutokana na mwigo kutoka wasanii nguli. Miktadha mingine imehusisha misukumo ya wasikilizaji na watazamaji, ukosefu wa alama ya utambulisho wa kitamaduni, na ukosefu wa elimu ya tasnia ya muziki. Mwisho, imependekezwa kuwa ili kulinda utamaduni wa Kitanzania kupitia muziki, ni vema wasanii wapatiwe warsha, semina, na madarasa maalumu ya kukuza vipaji vyao kwamaslahi ya jamii nzima ya Watanzania.en_US
dc.identifier.citationKasiga, G. A. (2022). Miktadha ya Matumizi ya U-Nigeria katika Video za Nyimbo za Muziki wa Kizazi Kipya Nchini Tanzania. Nuru ya Kiswahili, 1(2), 184-211.en_US
dc.identifier.otherURL: http://www.journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/2457
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/4169
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherUniversity of Dodoma, Tanzaniaen_US
dc.subjectU- Nigeriaen_US
dc.subjectKizazi kipyaen_US
dc.subjectMuzikien_US
dc.subjectNyimboen_US
dc.subjectMuktadhaen_US
dc.subjectMuziki wa Kizazi Kipyaen_US
dc.subjectnjia za kuupunguza na kuuondoshaen_US
dc.subjectUtamadunien_US
dc.titleMiktadha ya matumiziya U-Nigeria katika video za nyimbo za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzaniaen_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Kasiga, G. A. (2022). Miktadha ya Matumizi ya U-Nigeria katika Video za Nyimbo za Muziki wa Kizazi Kipya Nchini Tanzania. Nuru ya Kiswahili, 1(2), 184-211..pdf
Size:
87.99 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections