Uafrikanishaji katika riwaya ya kiswahili

dc.contributor.authorFaustine, Stella
dc.date.accessioned2022-03-08T11:48:39Z
dc.date.available2022-03-08T11:48:39Z
dc.date.issued2020
dc.descriptionIkisiri. Makala kamili inapatikana https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/3160en_US
dc.description.abstractMakala haya yanajadili namna uchimuzi wa falsafa ya Waafrika unavyochangia kuipa fasihi ya Kiswahili sura ya Uafrika. Vipengele vilivyojadiliwa katika makala hii ni uzazi na ulezi kama jambo la muhimu kwa Waafrika, imani kuhusu uchawi, kuwapo kwa ulimwengu wenye matabaka matatu, mwendelezo wa maisha baada ya kifo na mtazamo kuhusu kuwapo kwa busara na hekima kwa wazee. Swali linaloibuliwa na kujibiwa na makala haya ni kuwa, je, ni kwa namna gani falsafa ya Waafrika imesawiriwa katika fasihi ya Kiswahili, na hivyo, kuifanya kuwa na sura ya Uafrika? Makala yanajibu swali hili kwa mifano hai kutoka katika riwaya za Kiswahili zilizoandikwa kwa kufuata mkondo wa kimajaribio ambazo ni Nagona (1990) ya E. Kezilahabi, Babu Alipofufuka (2001) ya S. AMohammed na Bina – Adamu! (2002) ya K. W. Wamitila.en_US
dc.identifier.citationFaustine, S. (2020). Uafrikanishaji katika riwaya ya kiswahili. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili JUZ, 38(55-73)en_US
dc.identifier.otherURL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/3160
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3459
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherChuo Kikuu cha Dar es Salaamen_US
dc.subjectFasihien_US
dc.subjectFasihi kiswahilien_US
dc.subjectUafrikanishajien_US
dc.subjectUzazien_US
dc.subjectMalezien_US
dc.subjectFalsafa waafrikaen_US
dc.subjectNagonaen_US
dc.subjectBabu alipofufukaen_US
dc.subjectBina – Adamuen_US
dc.titleUafrikanishaji katika riwaya ya kiswahilien_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Faustine, S..pdf
Size:
101.6 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections