Mdhihiriko wa kionjo cha usangwini kwa mhusika Willy Gamba katika riwaya ya Njama

dc.contributor.authorPonera, Athumani S.
dc.contributor.authorKasiga, Gerevaz. A.
dc.date.accessioned2023-10-12T13:45:31Z
dc.date.available2023-10-12T13:45:31Z
dc.date.issued2020
dc.descriptionAbstract. Full text article available at. https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kcl/article/view/3138en_US
dc.description.abstractMaudhui ya kazi za kifasihi hufika kwa hadhira kupitia wahusika. Watunzi huwajenga wahusika hao kwa kutumia mbinu mbalimbali huku wakiwavisha haiba na mujukumu ambayo, aghalabu, huendana na vionjo maalumu vya haiba (psychological temperaments). Shabaha ya makala hii ni kufafanua namna ambavyo sifa na majukumu ya mhusika wa kazi za kifasihi huendana na vionjo vya kihaiba anavyojengwa navyo. Ufafanuzi wetu unaegemezwa kwenye uhusika wa Willy Gamba katika riwaya ya Njama. Tunaonesha namna anavyotekeleza majukumu yake kwa kuongozwa na sifa za kionjo cha usangwini ambacho ni mojawapo ya vionjo vikuu vinne vya kihaiba.en_US
dc.identifier.citationPonera, A. S., & Kasiga, G. A. (2020). Mdhihiriko wa Kionjo cha Usangwini kwa Mhusika Willy Gamba katika Riwaya ya Njama. Kioo cha Lugha, 17(1).en_US
dc.identifier.otherURL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kcl/article/view/3138
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/4176
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherThe University of Dar es Salaamen_US
dc.subjectusangwinien_US
dc.subjectWilly Gambaen_US
dc.subjectMhusikaen_US
dc.subjectRiwaya ya Njamaen_US
dc.subjectMaudhuien_US
dc.titleMdhihiriko wa kionjo cha usangwini kwa mhusika Willy Gamba katika riwaya ya Njamaen_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Ponera, A. S., & Kasiga, G. A. (2020). Mdhihiriko wa Kionjo cha Usangwini kwa Mhusika Willy Gamba katika Riwaya ya Njama. Kioo cha Lugha, 17(1)..pdf
Size:
85.79 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections