Ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini

dc.contributor.authorAlphonce, Boniphace M.
dc.date.accessioned2020-11-25T08:02:58Z
dc.date.available2020-11-25T08:02:58Z
dc.date.issued2018
dc.descriptionAbstract. Full text article available at https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/2433en_US
dc.description.abstractMakala hii inahusu ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara Kaskazini. Sauti zilizolinganishwa ni konsonanti na irabu. Ulinganishi huu umezingatia Nadharia ya Isimuhistoria na Isimulinganishi katika kuonesha uhusiano wa “lugha” zilizochunguzwa. Lengo la ulinganishi wa “lugha” hizi ni kubaini kama kuna mfanano au tofauti miongoni mwake. Matokeo yaliyotokana na data kutoka uwandani yamedhihirisha mfanano mkubwa wa “lugha” hizi za Mara Kaskazini katika mfumo wa sauti. Matokeo haya yanatushawishi tuzichukulie “lugha” hizi kama ni lahaja zinahusiana kwa karibu, na pengine zimetokana na lugha-chanzi moja na sio lugha zinazojitegemea kama zinavyotazamwa kiisimujamii.en_US
dc.identifier.citationAlphonce, B. M. (2018). Ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini. Kiswahili, 18(1), 52-61.en_US
dc.identifier.otherURL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/2433
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/2611
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherThe University of Dar es salaamen_US
dc.subjectMfumo wa sautien_US
dc.subjectMara kaskazinien_US
dc.subjectLughaen_US
dc.subjectKonsonantien_US
dc.subjectIrabuen_US
dc.subjectLugha-chanzien_US
dc.subjectKiisimujamiien_US
dc.subjectUlinganishi wa lughaen_US
dc.titleUlinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazinien_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Boniphace M. Alphonce.pdf
Size:
121.26 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections