Dhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili

dc.contributor.authorBadru, Zuhura A.
dc.date.accessioned2021-08-31T09:04:37Z
dc.date.available2021-08-31T09:04:37Z
dc.date.issued2019
dc.descriptionIkisiri. Makala kamili inapatikana https://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/193403en_US
dc.description.abstractVitendawili ni utanzu wa fasihi simulizi ambao umechunguzwa kwa kiasi kikubwa hasa kuhusu maana, muundo pamoja na dhima zake. Aidha, imedhihirika kuwa utanzu huu ni tajiri katika matumizi ya lugha ya picha na ishara ambazo hufumbata sitiari inayotarajiwa kufumbuliwa. Hata hivyo, namna ambavyo picha na ishara hizo hufasiriwa na kupata maana bado haijachunguzwa. Katika makala hii tumebainisha namna taswira zinavyowezesha vitendawili kueleweka kwa kurahisisha tafsiri ya picha zilizotumika, kuondoa utata, kutumia maneno kiiktisadi, na hivyo, kuwezesha hadhira kufumbua kitendawili kwa wepesi na kuuona ulimwengu wake kwa upya. Data za makala hii zilipatikana kwa njia ya uchunguzi matini, mahojiano na mjadala wa vikundi baina ya mtafiti na watoataarifa wake kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani. Imebainika kwamba taswira katika vitendawili ina dhima kadhaa katika ufasiri na uteguaji wa vitendawili hivyo, ikiwamo kuondoa utata, kuutazama ulimwengu upya na kuleta iktisadi.en_US
dc.identifier.citationBadru, Z. A., (2019). Dhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawili. Kioo cha Lugha, 17en_US
dc.identifier.issn0856-552X
dc.identifier.otherURL: https://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/193403
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3309
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherChuo Kikuu cha Dar es Salaamen_US
dc.subjectVitendawilien_US
dc.subjectFasihi simulizien_US
dc.subjectDhima fasihien_US
dc.subjectLugha pichaen_US
dc.subjectTaswiraen_US
dc.subjectUfasirien_US
dc.subjectUteguzi vitendawilien_US
dc.subjectTanzu fasihien_US
dc.subjectTanzania baraen_US
dc.subjectTanzania visiwanien_US
dc.titleDhima ya taswira katika ufasiri na uteguzi wa vitendawilien_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Badru, Zuhura A..pdf
Size:
5.68 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections