Msukumo wa jamii katika mabadiliko ya utendaji wa tamthilia ya kiswahili

dc.contributor.authorFaustine, Stella
dc.date.accessioned2022-03-08T11:50:11Z
dc.date.available2022-03-08T11:50:11Z
dc.date.issued2020
dc.descriptionIkisiri. Makala kamili inapatikana https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/4026en_US
dc.description.abstractTafiti mbalimbali zimekuwa zikijadili kuhusu tamthilia ya Kiswahili kwa kuangalia historia, maendeleo yake pamoja na vipengele vinavyounda utanzu huo kwa jumla. Vipengele vingine hasa vya mabadiliko ya utendaji wa tamthilia pamoja na msukumo wa kijamii katika kuzua mabadiliko hayo havikupewa kipaumbele. Hali hii imesababisha mabadiliko ya utendaji wa sanaa mbalimbali za maonyesho kama vile tamthilia, kutohusishwa na mabadiliko ya jamii, hivyo kusababisha ugumu katika kuelewa maudhui yaliyomo ndani yake kwa kina. Makala haya yanalenga kuziba pengo hilo kwa kuonesha namna msukumo wa jamii hususan uvumbuzi wa sayansi na teknolojia unavyochangia mabadiliko ya utendaji wa tamthilia. Makala yametumia data za maktabani ambazo zilipatikana kupitia njia ya udurusu wa nyaraka, mapitio ya tamthilia zilizohifadhiwa katika mfumo wa kidijiti, na usomaji makini wa tamthilia andishi. Data zilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa kutumia mkabala wa kitaamuli ambao hutumia maelezo katika uwasilishaji wa maudhui. Aidha, Nadharia ya Uhalisia imetumika katika uchanganuzi wa data na uwasilishaji wa matokeo ya utafiti. Makala yamebainisha kuwa mabadiliko yaliyotokea katika jamii kama vile maendeleo ya uvumbuzi wa sayansi na teknolojia, yana mchango mkubwa katika mabadiliko ya utendaji wa tamthilia. Kimsingi, makala yanatoa hamasa kwa waandishi na wahakiki wa tamthilia ya Kiswahili katika kuyahusisha maendeleo ya tamthilia na mabadiliko ya jamiien_US
dc.identifier.citationFaustine, S. (2020). Msukumo wa jamii katika mabadiliko ya utendaji wa tamthilia ya kiswahili. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili JUZ, 39(96-111)en_US
dc.identifier.otherURL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/4026
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3460
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherChuo Kikuu cha Dar es Salaamen_US
dc.subjectTamthilia kiswahilien_US
dc.subjectMabadiliko utendaji tamthiliaen_US
dc.subjectMsukumo jamiien_US
dc.subjectUdurusu nyarakaen_US
dc.subjectTamthilia mapitioen_US
dc.subjectNadharia uhalisiaen_US
dc.subjectSayansi teknolojia uvumbuzien_US
dc.titleMsukumo wa jamii katika mabadiliko ya utendaji wa tamthilia ya kiswahilien_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Faustine, Stella .pdf
Size:
6.21 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections