Filamu ya Kiswahili: Fasihi simulizi iliyostawi

Loading...
Thumbnail Image
Date
2019
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Moi University Press
Abstract
Makala haya yanaijadili sanaa ya filamu za Kiswahili kama fasihi simulizi iliyopevuka na kuchukua mkondo wa kiteknnlojia kutokana na utegemezi wake wa nyenze katika utambaji. Hadhi ya kisanaa ya filamu imetazamwa kwa namna inayoonesha kujitokezea kwake kupitia umbo na wajihi wa kifasihi.
Description
Abstract. full text article available at: http://ir.mu.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/3792
Keywords
Filamu, Fasihi, Fasihi simulizi, Sanaa, mkondo wa kiteknnlojia, Hadhi, Utambaji
Citation
Kasinga, G. A., & Neema, J. L. (2019). Filamu ya Kiswahili: Fasihi Simulizi Iliyostwai.Mwanga wa Lugha.
Collections