Tofauti baina ya Vivumishi na Vibainishi katika Lugha ya Kiswahili

dc.contributor.authorPhilipo, Zabron T.
dc.date.accessioned2023-10-12T13:56:35Z
dc.date.available2023-10-12T13:56:35Z
dc.date.issued2017
dc.descriptionAbstract. full text article available at. https://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/159282en_US
dc.description.abstractNia ya makala hii ni kuonyesha tofauti ya dhana ‘kivumishi’ na ‘kibainishi’ katika lugha ya Kiswahili. Wanaisimu wengi, kwa kutumia mtazamo wa kimapokeo, wamekuwa wakichanganya dhana hizi mbili katika lugha hii ambapo vibainishi vimekuwa vikiwekwa kwenye ‘kapu’ moja na vivumishi. Kutokana na kuwapo kwa utata huo, makala hii inazitalii dhana hizi mbili ili kujaribu kuondoa au kupunguza utata unaowakabili wanaisimu katika kuzipambanua dhana hizi katika lugha ya Kiswahili. Mbinu ya udurusu wa nyaraka ilitumika kupata data za makala hii1. Mtazamo wa kisasa katika kuainisha tofauti baina ya vivumishi na vibainishi ulitumika. Mtazamo huu unasisitiza kutumia kigezo cha kisintaksia kupambanua aina hizi za maneno kwa kuzingatia: mosi, mtawanyiko wake, pili, dhima kisarufi, na tatu, mnyambuliko wa aina hizi za maneno. Aidha, makala hii inapendekeza vigezo na namna nyingine za kuainisha vibainishi na vivumishi katika lugha ya Kiswahili.en_US
dc.identifier.citationPhilipo, Z. T. (2017). Tofauti Baina ya Vivumishi na Viambishi katika Lugha ya Kiswahili. Kioo cha Lugha, 13(1).en_US
dc.identifier.otherURL: . https://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/159282
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/4190
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherThe University of Dar es Salaamen_US
dc.subjectTofauti baina ya Vivumishi na Vibainishien_US
dc.subjectVivumishien_US
dc.subjectViambishien_US
dc.subjectLughaen_US
dc.subjectmnyambulikoen_US
dc.subjectSarufien_US
dc.titleTofauti baina ya Vivumishi na Vibainishi katika Lugha ya Kiswahilien_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Philipo, Z. T. (2017). Tofauti Baina ya Vivumishi na Viambishi katika Lugha ya Kiswahili. Kioo cha Lugha, 13(1)..pdf
Size:
118.28 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections