Matamshi na tahajia ya istilahi mkopo za Kiingereza katika Kiswahili: Mifano kutoka istilahi za sayansi ikisiri

dc.contributor.authorPhilipo, Zabron T.
dc.date.accessioned2023-10-12T14:02:49Z
dc.date.available2023-10-12T14:02:49Z
dc.date.issued2022
dc.descriptionAbstract. Full text article available at https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/4749en_US
dc.description.abstractLengo la makala haya ni kuonesha ruwaza ya matamshi na tahajia ya Istilahi Mkopo (kuanzia sasa IM) za Kiingereza zinazoingizwa katika Kiswahili. Mtazamo wa asasi zinazohusika na uundaji istilahi kama vile Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) na Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) kuhusu matamshi na tahajia ya IM unaonesha kuwa IM zenye matamshi kama yalivyo katika Kiswahili na kuwa na tahajia ya IM zenye muundo wa maandishi kama ilivyo katika Kiingereza. Data na hoja zilizowasilishwa katika makala hii zimetokana na hojaji, usaili na upitiaji nyaraka[1]. Hivyo, data hizo zinadhihirisha kuwa kuna uhalali wa kuangalia upya ruwaza ya matamshi na tahajia ya IM za Kiingereza katika Kiswahili. Makala haya yanabainisha kuwa IM ziwe na ruwaza ya matamshi kama ilivyo katika Kiingereza. Kwa mfano, <hydrogen> - /haidrojeni/ na tahajia iwe ni ile ya muundo wa matamshi badala ya ule wa maandishi. Kwa mfano, <hydrogen>- <haidrojeni> *<hidrojeni>. Makala yanatoa mwongozo wa matamshi na tahajia ya IM katika Kiswahili.en_US
dc.identifier.citationPhilipo, Z. T. (2022). Matamshi na Tahajia ya Istilahi Mkopo za Kiingereza katika Kiswahili Mifano kutoka Istilahi za Sayansi Ikisiri. Kiswahili, 84(1).en_US
dc.identifier.otherURL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/4749
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/4195
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherThe University of Dar es Salaamen_US
dc.subjectMatamshien_US
dc.subjectIstilahi mkopoen_US
dc.subjectIstilahi za sayansien_US
dc.subjectBaraza la Kiswahili Tanzaniaen_US
dc.subjectBAKITAen_US
dc.subjectTATAKIen_US
dc.subjectTaasisi ya Taaluma za Kiswahilien_US
dc.subjectIMen_US
dc.titleMatamshi na tahajia ya istilahi mkopo za Kiingereza katika Kiswahili: Mifano kutoka istilahi za sayansi ikisirien_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Philipo, Z. T. (2022). Matamshi na Tahajia ya Istilahi Mkopo za Kiingereza katika Kiswahili Mifano kutoka Istilahi za Sayansi Ikisiri. Kiswahili, 84(1)..pdf
Size:
90.65 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections