Hali ya kupendwa kwa nyimbo za injili kama fasihi pendwa: mfano nyimbo za Christina Shusho

dc.contributor.authorBitababaje, Happiness W.
dc.date.accessioned2018-10-09T08:10:32Z
dc.date.available2018-10-09T08:10:32Z
dc.date.issued2017
dc.descriptionShahada ya Uzamili katika Fasihi ya Kiswahilien_US
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu misingi ya kupendwa kwa nyimbo za Injili kama fasihi pendwa kwa kuangalia nyimbo za Christina Shusho. Nyimbo za Injili ni mpangilio wa sauti za kuimbwa sambamba na vitendo katika uhalisia wake ukipambanuliwa kwa gitaa na zumari wenye muonekano wa kanisa, kwa maana maudhui yake huwa tofauti na miziki mingine na ni nyimbo zinazoelezea habari njema za Yesu Kristo. Fasihi pendwa ni fasihi ambayo inapendwa na watu wengi na inaleta mvuto kwa watu wengi na inatofautiana na tanzu nyingine za fasihi. Katika kufanikisha malengo ya utafiti, nadharia ya upokezi imetumika katika uchanganuzi wa data. Data ilikusanywa kutoka mikoa ya Dodoma na Dar es Salaam. Mbinu za usaili, ushuhudiaji, udurusu wa maandiko na majadiliano zilitumika katika kukusanya data, sambamba na matumizi ya kanda zilizorekodiwa wakati mtafiti akiwa uwandani. Utafiti umebaini kuwa nyimbo za Injili ni utanzu mmojawapo wa fasihi pendwa katika tanzu za fasihi za Kiswahili. Tumeona kuwa nyimbo za Injili ni nyimbo zenye wapenzi wengi. hii hutokana na namna mwimbaji anavyoimba, haiba yake na uwasilishaji wake na maudhui mbalimbali yanayojitokeza katika nyimbo za mwimbaji yanayoigusa jamii. Nyimbo za Injili kama utanzu mmojawapo wa fasihi simulizi ina mchango mkubwa katika kusana kazi za kifasihi na zina maudhui mbalimballi yanayoigusa jamii. Misingi ya kupendwa kwa nyimbo za Injili ni kitu amabacho kinahitaji tafiti zaidi za kitaaluma kutokana na umuhimu wake katika jamii. Inapendekezwa kuwa tafiti zifanywe katika tanzu nyingine za fasihi.en_US
dc.identifier.citationBitababaje, H. W. (2017). Hali ya kupendwa kwa nyimbo za injili kama fasihi pendwa: mfano nyimbo za Christina Shusho. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodomaen_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/455
dc.language.isoKiswen_US
dc.publisherChuo Kikuu cha Dodomaen_US
dc.subjectFasihien_US
dc.subjectFasihi pendwaen_US
dc.subjectNyimboen_US
dc.subjectNyimbo za injilien_US
dc.subjectChristina Shushoen_US
dc.subjectTanzu za fasihien_US
dc.subjectNadhariaen_US
dc.subjectNadharia ya upokezien_US
dc.subjectDodomaen_US
dc.subjectDar es Salaamen_US
dc.subjectFasihi ya Kiswahilien_US
dc.subjectFasihi simulizien_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.subjectInjilien_US
dc.titleHali ya kupendwa kwa nyimbo za injili kama fasihi pendwa: mfano nyimbo za Christina Shushoen_US
dc.typeDissertationen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
HAPPINESS BITABABAJE- RIPOTI.pdf
Size:
1008.22 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: